Biashara United vs Mtibwa Sugar

Sambaza....

Huenda ikawa mechi ya Muendelezo wa Ushindi kwa Kocha Zuberi Katwira, baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 katika mechi iliyopita dhidi ya Mwadui FC katika dimba jipya la CCM Gairo.

0 - 0
Mwisho

Biashara FC

Mtibwa Sugar FC

Baada

Biashara United tayari imeshacheza mechi 10, ikijikusanyia alama zake 8 katika nafasi ya 17 katika msimamo wa VPL. Mtibwa wao wana jumla ya alama 15, baada ya kucheza mechi 11 katika nafasi ya 9.
Huenda ikawa mechi ya Muendelezo wa Ushindi kwa Kocha Zuberi Katwira, baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 katika mechi iliyopita dhidi ya Mwadui FC katika dimba jipya la CCM Gairo.
Katwira na Mchezaji wake Jafary Kibaya kama kocha bora na mchezaji bora wa mwezi uliopita Mtawalia watahitaji kufanya vizuri ili kuendeleza viwango vyao.

Lakini hata hivyo mechi haitokuwa rahisi ukizingatia Mtibwa wako ugenini,na Biashara United wapo nyumbani tena mbele ya mashabiki wao.

Hii itawafanya wajitume zaidi kuhakikisha wanaendelea kujikusanyia alama ili kujiweka katika mazingira mazuri kabla ya SikuKuu za Mwisho wa Mwaka.

Uwanja

Karume-Musoma
Unnamed Road, Musoma, Tanzania

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
23/11/2019 4:00 pm TPL 2019-2020 90'

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.