Kenya vs Tanzania

Sambaza kwa marafiki....
3 - 2
Mwisho

Kenya

Tanzania

Baada

Katika mechi 44 Tanzania ilizokutana na Kenya, Tanzania imeshinda mechi 14, sare 14 na kupoteza 20.

Mechi ya kwanza ilikuwa Septemba 4, 1964 na Tanzania ilishinda 1-0 dhidi ya Kenya katika Kombe la Afrika Mashariki (CECAFA sasa).

Mechi ya mwisho kabla ya leo Kenya ilishinda 1-0 katika michuano ya CECAFA.

Kenya imewahi kupata kipigo kikali cha 5-0 wakati wa kampeni za kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia. Mechi ilichezwa 19 Julai 1980. Lakini tano hizo zilikuja kulipwa baadae katika mechi ya kirafiki.

Leo majirani hawa wanakutana karika michuano mikubwa ya Kombe la Mataifa ya Afrika kule nchini Misri ambako mto mkubwa unaotegemewa kwa kilimo na matumizi chanzo chake ni Afrika Mashariki zinakotoka timu hizi.

Kandanda.co.tz

@harambee_stars @taifastars_ #tanzania #kenya 

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
27/06/2019 11:00 pm AFCON 2019 KUNDI C 2019-2020 90'
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.