Sambaza....

Baada

Bocco, Okwi ni nani atakayempisha Kagere ili Simba ibalansi kiuchezaji? Aussems presha inaanza leo

KOCHA mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji bila shaka ana kikosi kipana, lakimni kuanzia leo Jumamosi naweza kuanza kuona presha kubwa ikielekezwa kwake. Atapata presha kutoka kwa wachezaji wake watatu wa nafasi ya ushambuliaji. Nahodha, John Bocco, mfungaji bora wa msimu uliopita Mganda, Emmanuel Okwi na kinara mpya wa mashambulizi na ufungaji klabuni hapo Mnyarwanda, Meddie Kagere… soma zaidi!


 

Uwanja

Nangwanda
Mpirani Rd, Mtwara, Tanzania

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
15/09/2018 4:00 pm TPL 2018-2019 90'

Sambaza....