Ruvu Shooting vs Tanzania Prisons

Sambaza....

0 - 3
Mwisho

Ruvu Shooting

Tanzania Prisons

Baada

Klabu ya Tanzania Prisons ilipewa alama 3 na goli tatu baada ya mchezo huu kutokufanyika kwa kuwa Ruvushooting hawakuleta gari la wagonjwa wakati wa mchezo huu namba 205.

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
11/02/2020 4:00 pm TPL 2019-2020 90'

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.