Baada
Meddie Kagere, mfungaji bora wa msimu 2018/19 na kinara wa magoli hadi sasa akiwa na goli 9, goli la mwisho amefunga katika mechi ya Lipuli Fc tarehe 25 dakika ya 49.
Katika mechi tano zilizopita, Simba haijafungwa hata goli moja na ikitoka sare tasa moja, huku ikifunga mabao 12. Kwa upande wa Yanga imeshinda mechi tatu tu na kutoka sare tasa moja na 1-1 moja, huku ikifunga mabao matano na kufungwa mawili.
Mechi tano zilizopita:
- Simba SC: W-W-W-W-D
- Yanga SC: W-W-D-D-W
Kwa taarifa yako tu, katika tano bora ya wafungaji bora Ligi Kuu msimu huu hakuna mchezaji wa Yanga, huku Simba ikiwa na wawili tu. Tutajie…
Tofauti ya michezo kati ya Simba na Yanga ni miwili, Yanga hata akimfunga Simba na na kucheza michezo miwili iliyobaki huku Simba akiwa kalala, Yanga haifikishi alama za Simba. #SimVsYan20
MECHI TANO ZA TIMU ZOTE KABLA YA KUKUTANA
Uwanja
Uwanja wa Mkapa |
---|
Taifa Rd, Dar es Salaam, Tanzania |
Taarifa
Tarehe | Muda | Ligi | Msimu | Mwisho |
---|---|---|---|---|
04/01/2020 | 12:33 pm | TPL | 2019-2020 | 90' |
Waamuzi
- Mwamuzi Msaidizi 2
- Hamisi Chang’walu
- Kamishina
- Khalid Bitebo
- Mwamuzi wa Kati
- Jonesia Rukyaa
- Mwamuzi Msaidizi 1
- Sudi Hussein