Simba SC vs Young Africans SC

Sambaza....

1 - 0
Mwisho

Baada

Klabu ya Simba inaongoza msimamo wa ligi, na haijapoteza mchezo hata mmoja hadi hatua hii. Simba na Yanga wanatafuta nafasi ya kwanza ili kuwakilisha nchi katika michuano ya Klabu bingwa msimuujao.

Yanga ni bingwa mtetezi wa Taji la Ligi Kuu Tanzania.

Matangazo kupitia akaunti yetu ya twitter: Hashtag #SimYan18


Dondoo Muhimu:

49” Hassan kessy anapata kadi nyekundu

Dakika za nyongeza zilishayoyoma. Yanga wapo nyuma kwa bao 1-0

36” Mpira kutoka kwa Kichuya wa adhabu unasindikizwa kimyani mwa goli la Yanga kupitia Erasto Nyoni.

Erasto anaifungia Simba bao la kuongoza kwa kichwa.

1′ Mpira umeanza

Dakika 28 zimesalia kabla ya kipute cha kihistoria kupigwa katika uwanja wa Taifa, mashabiki wengi wamejitokeza kuandika historia nyingine..

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
29/04/2018 4:00 pm TPL 2017-2018 90'

Sambaza....