archiveNational Stadium

Yanga SC vs Simba SC

Kariakoo Derby kwa mara nyingine tena inawakutanisha Yanga Sc dhidi ya watani wao Simba Sc. Ni mechi kubwa ukanda wa...

Yanga SC vs Ndanda FC

Baada ya kupata sare tatu mfululizo na kuanza kufifisha matumaini ya kukamata nafasi ya pili Yanga wanakwenda kujiuliza mbele ya Ndanda fc mbele ya mashabiki wake uwanja wa Taifa.

Yanga SC vs Azam FC

Yanga na Azam wapo katika mchuano mkubwa wa kuwania nafasi ya pili katika msimamo wa VPL. Yanga katoka kupata sare dhidi ya JKT na Azam mchezo wa mwisho amepata ushindi mbele ya Mbao fc.

Simba SC vs Mwadui FC

Mwadui fc wapo katika hatihati ya kushuka daraja huku wakitoka kupoteza mchezo dhidi ya Yanga wanakwenda kukutana na Simba inayotafuta alama 13 tu ili kutangazwa mabingwa. Mwadui f ndio timu ya kwanza msimu huu kuifunga Simba walipolitana katika mchezo wa raundi ya kwanza.

Simba SC vs Ruvu Shooting

Simba inataka kujihakikishia ubingwa mapema huku Ruvu Shooting wakiwa hawana uhakika wakisalia katika Ligi Kuu Bara kutokana na kua katika hatihati ya kucheza Playoff au kushuka kabisa.
1 2
Page 1 of 2
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.