Young Africans SC vs Mtibwa Sugar

Sambaza....

2 - 1
Mwisho

Baada

Hakujawahi kuwa na wepesi wa aina yoyote kipindi ambapo Mtibwa inapokuwa inacheza na Yanga au Simba.

Haijalishi uwanja utakaotumika kwa ajili ya mechi hiyo lakini ugumu wa mechi hiyo utaonekana wazi.

Mtibwa ametoka kucheza na Simba katika mchezo wa ngao ya jamii mchezo uliopita na Yanga wametoka kucheza dhidi ya USM Algers katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika… soma zaidi!

Uwanja

Uwanja wa Mkapa
Taifa Rd, Dar es Salaam, Tanzania

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
23/08/2018 6:00 pm TPL 2018-2019 90'

Sambaza....