Sambaza....

Aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa klabu ya Yanga ambaye alijiuzuru mwaka jana, Salum Mkemi ametangaza kurudi rasmi katika nafasi yake.

Akiongea na mtandao huu wa Kandanda.co.tz , Salum Mkemi amedhitisha kwa kusema kuwa

“Natangaza rasmi nimerudi katika nafasi yangu ya jumbe wa kamati ya Utendaji.

Maana barua yangu ya kujiuzulu haijajibiwa mpaka leo na viongozi wa Yanga.

Viongozi waliopo hawatosho kuijadili, hivyo nimeamua kurudi katika nafasi yangu ya kazi rasmi kuanzia leo tarehe 11/01/2018.

Sambaza....