Sambaza....

Suleiman Lukumay amechaguliwa na kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga kuwa kaimu mwenyekiti wa klabu ya Yanga.

Suleiman Lukumay amechaguliwa kuziba nafasi hiyo iliyoachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji, ambaye amejiuzuru kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

Suleiman Lukumay atakaimu nafasi hiyo mpaka Yanga itakapofanya uchaguzi wake mwezi wa kwanza mwaka 2019

Sambaza....