Akilimali
Blog

Mzee AKILIMALI aaga DUNIA

Sambaza....

 

Taarifa zilizotufikia asubuhi hii ya Leo ni kuwa mwenyekiti wa baraza la wazee na mwanachama mkongwe wa Yanga , Yahya AKILIMALI ameaga dunia katika hospitali ya wilaya ya BAGAMOYO mkoani Pwani.

Tutazidi kukukuletea Habari zaidi kuhusu kifo hicho cha mwanachama huyo mkongwe na maarafu wa klabu ya Yanga, mabingwa wa kihistoria nchini.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.