Samuel Eto'o
Mataifa Afrika

Nani kuzivunja rekodi hizi? Samatta kuingia katika rekodi hizi?

Sambaza....

Hizi ni takwimu chache kwa msaada wa mitandao tofauti.

Samatta akifanya yake

Wachezaji wanne anaongoza kwa ufungaji wa magoli mpaka sasa, ni Andrew Ayew na Asamoah Gyan tu ndio wapo MISRI


Idadi ya Magoli Wafungaji
18 Cameroon Samuel Eto’o
14 Ivory Coast Laurent Pokou
13 Nigeria Rashidi Yekini
12 Egypt Hassan El Shazly
11 Cameroon Patrick Mboma
Egypt Hossam Hassan
Ivory Coast Didier Drogba
10 Democratic Republic of the Congo Ndaye Mulamba
Ivory Coast Joel Tiéhi
Ethiopia Mengistu Worku
Tunisia Francileudo Santos
Zambia Kalusha Bwalya
9 Angola Manucho
Ivory Coast Abdoulaye Traoré
8 Egypt Ahmed Hassan
Ghana André Ayew
Ghana Asamoah Gyan
Guinea Pascal Feindouno

Mulamba

Wachezaji wenye magolii zaidi ya matano katika michuano

Magoli Mchezaji Nchi Mwaka
9 Ndaye Mulamba  Zaire 1974
8 Laurent Pokou  Ivory Coast 1970
7 Hossam Hassan  Egypt 1998
Benni McCarthy  South Africa
6 Hassan El-Shazly  Egypt 1963
Laurent Pokou  Ivory Coast 1968
5 Ad-Diba  Egypt 1963
Salif Keïta  Mali 1972
Rashidi Yekini  Nigeria 1994
Kalusha Bwalya  Zambia 1996
Shaun Bartlett  South Africa 2000
Samuel Eto’o  Cameroon 2006
2008
Mohamed Nagy  Egypt 2010

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x