Blog

Ni wakati sahihi kwa Msuva kwenda Ulaya?

Sambaza kwa marafiki....

Simon Happygod Msuva, umri miaka 25 sasa, mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga, kwa sasa anacheza soka la kulipwa nchini Algeria katika klabu ya Difaâ Hassani El Jadidi.

Msuva amekuwa pia nguzo muhimu katika kikosi cha timu ya Taifa kilichofuzu kwa mara ya pili michuano ya kombe la mataifa ya Afrika baada ya miaka 39, akiwa amefunga mabao matatu muhimu.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.