Sambaza....

Liverpool wanashikilia rekodi ya kupata alama nyingi kwa msimu mmoja bila kupata ubingwa. Msimu wa 2018/2019 walikusanya alama 97 lakini hawakua mabingwa na wakashika nafasi ya pili nyuma ya Manchester City waliobeba ubingwa na alama 100.


Sambaza....