Hapa Liverpool ndipo walipoingia kwenye mtego kwa kuzidiwa idadi ya viungo badala ya kuwa 3v3 inakuwa 4v3 ndipo game ilipohamia kwao hasa mpango wa kwanza
Gaucho mshindi wa Ballon'dor pia hakusita kutoa ushauri wa wapi anadhani Mo Salah anatakiwa kwenda huku akisisitiza furaha ni muhimu kwake katika mchezo wa soka.
Michezo yote 92 iliyobaki itatangazwa moja kwa moja, na mechi nne kuonyeshwa na kituo cha BBC mara ya kwanza kufanywa kuwa bure kwanda hewani kwenye TV