Sambaza....

Gwiji wa zamani wa Manchester United na Wales Ryan Giggs alifunga magoli mfuluizo katika misimu 21 ya Ligi Kuu ta Uingereza EPL. Hii ni rekodi yakipekee kabisa, wakati gwiji mwenzie wa United Wyne Rooney yeye alifunga magoli magoli kumi na kuendelea katika misimu 15 tangu mwaka 2004 mpaka 2015.


Sambaza....