Madrid 3, City 3. Ya Kibabe
Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa…
Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa…
Hii ni rekodi yakipekee kabisa
Kwasasa Liverpool toka 2018 yupo katika kiwango bora na kilele chake wakati Manchester United wao bado wanajitafuta
Rekodi hii inasimama mpaka leo na ikiwa ni miongoni mwa rekodi ngumu zaidi kuzivunja na walinda mlango wasasa.
Vyanzo vya habari vilisema Greenwood anapinga kuhamia nje ya nchi na Man United wanasita kumtoa kwa mkopo kwa mpinzani wake wa Ligi Kuu.
Kipaji walichokipoteza Atletico Madrid Alejandro Garnacho Ferreyra (19),…
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, amefunga mabao 212 na kuchangia mabao 98 katika michezo 260 tangu ajiunge na PSG kutoka Monaco,
Huyo ndio Zlatan Ibrahimovi mchezaji mjivuni na jeuri haswa huku akiamini katika kipaji chake na umaridadi wake akiwa uwanjani.
Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora
Kocha wa United baada ya kuanza msimu vyema na kuwa na matarajio makubwa ya kufuzu Ligi ya Mabingwa ameonekana kutaka kuendelea kuijenga na kuiimarisha United kwa kuongeza wachezaji watakaendana na falsafa zake na ukubwa wa United.