‘…tumejiandaa vya kutosha dhidi ya Kenema, na tulikuwa tukiangalia afya za wachezaji waliokuwa wamepata majeraha kidogo na naona kama wengi wako vizuri na tunamshukuru Mungu kwani tutakuwa na kikosi kamili..’
Kandanda haijakuacha nyuma pia, kama ilivyo utaratibu wetu tutaendelea kukuletea ratiba, matokeo bila kusahau wafungaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu.
Simba watacheza na Township Rollers wapinzani wa kimataifa wa Yanga katika mchezo wa awali. Baada ya hapo watacheza dhidi ya Platnumz FC, Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs.