Ligi KuuSimba, Yanga na Azam fc zitakavyoathirika na Ligi kurudi!Thomas Mselemu4 years agoKutokana na athari hizo tazama nyota ambao huenda wakakosekana katika vikosi vyao.
Ligi KuuLigi Kuu Bara inarudi wachezaji wa kigeni njia panda!Thomas Mselemu4 years agoVilabu kama KMC, Azamfc, Simba na Yanga watawakosa baadhi ya wachezaji na makocha wao kutokana na nchi nyingi kufungwa kwa viwanja vya ndege.
UhamishoHuu ndio usajili bora VPL dirisha dogo?Thomas Mselemu4 years agoTuambie ni kwako anafaaa kua usajili bora namba moja katika dirisha dogo na nina aliekuvutia kati ya sajili hizi tano, tupe maoni maoni yako.
Ligi Kuu“First eleven” inayokaa benchi VPL!KandandaTz4 years agoTovuti ya Kandanda inakuletea baadhi ya wachezaji ambao wamekosa ama wamepoteza nafasi katika vikosi vya kwanza vya timu zao,
Ligi KuuHii ndio tofauti ya Simba sc na wao!KandandaTz4 years agoKatika michezo ya leo ya raundi ya 22 Simba, Azam fc na Yanga zote zimeshuka dimbani leo.
Ligi KuuCoastal Union waendeleza balaa Uhuru!Thomas Mselemu4 years agoKwa matokeo hayo maana yake kwa msimu huu Coastal wamechukua alama zote sita kwa Azam fc baada ya raundi ya kwanza kuwafunga Azam moja bila katika dimba la Mkwakwani Tanga.
BlogTanzania kupeleka timu nne kwenye michuano ya CAF ?Martin Kiyumbi4 years agoZimebaki asilimia 10 tu kwa Libya kuipiku Tanzania nafasi 4 za uwakilishi michuano ya vilabu CAF.Matokeo ya jana Kati ya...
BlogYupi kocha bora 2019 kati ya Aussems na Zahera?Mwandishi Wetu4 years agoTukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2019 , ingia ndani ya kandanda.co.tz andika kura yako kwenye tovuti na mshindi atapewa tunzo na Kandanda.co.tz
BlogKifo cha Jeba ni funzo kwa jamii ya ‘Watu wa mpira’KandandaChat5 years agoJamii ya watu wa mpira inabidi iwe inaangalia masuala ya wachezaji katika pande zote, sio uwezo tu..afya ni muhimu.
BlogKutoka Mjini Magharibi hadi Azam kisha Simba: Historia fupi ya Jeba hii hapa.Sekwao Mwendi5 years agoKwa mara ya kwanza nilimuona Ibrahim kwenye uwanja wa Uhuru, zamani ukiitwa Taifa katika fainali ya Copa CocaCola kati ya Mjini Magharibi na Tabora.