Kocha wa KMC Etiene Ndairagije huenda wakati wowote akatangazwa na matajiri wa jiji Azam fc kuwa kocha wao mkuu kwenda kuchukua nafasi ya Hans Plujim aliefukuzwa.
Licha ya changamoto ya uwanja lakini kikosi hicho kutoka Iringa kimeweza kuifanya fainali 'kuwa fainali' na walikuwa mbele kwa umiliki wa mchezo kwa muda mwingi jioni hii.
Ratiba ambayo sio rafiki kwa upande wa Lipuli FC imebidi wafanye hivi ili kuipa umuhimu fainali yao itakayowapa tiketi ya kuwakilisha Tanzania katika michuano ya Afrika.
Lipuli fc imefanikiwa kuifunga Yanga sc na kukata tiketi ya kwenda fainali kumenyana na Azam fc mkoani Lindi baada ya kuifunga mabao mawili kwa sifuri.