Ally Ramadhani akiwa na wachezaji wenzake wakimsikiliza kocha kwa makini.
Blog

Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?

Sambaza....

Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili.

Taarifa kutoka KMC inasema kulikuwa na mazungumzo ya pande mbili ili kukubaliana kumpa mkataba mwingine, kitu amabacho Etiene aliomba kutokuwa na mkataba mpya ili akapambane na changamoto nyingine.

Etiene aliingoza KMC katika msimu wake wa kwanza Ligi Kuu Tanzania bara, na kushika nafasi ya nne. Na tayari timu hiyo imepata nafasi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.