"wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi"
Tumewaona As Vita, Al Ahly ambao wana asilimia kubwa ya wachezaji wa ndani katika kikosi chao. Azam FC wanatakiwa kutumia kituo chao kuzalisha wachezaji wa ndani ambao watakuwa na msaada kwenye timu yao.
Women’s Premier League) imeendelea jana, huku Yanga Princess ikiwakaribisha Simba Queens katika mchezo wa raundi ya tano, Yanga Princess walikubali kulala kwa jumla ya magoli 7-0 huku Mwanahamisi Omari