Mabingwa Afrika

Tushinde, tufungwe! Amunike ni lazima aondoke.

Sambaza....

Katika kile ambacho imeonekana baadhi ya wachambuzi na wafuatiliaji mitandao ya kijamii kuunga mkono, ni kauli iliyotelewa na mmoja ya wasanii ambao wanahamasisha mashabiki kwenda uwanjani siku ya Jumapili kushangilia timu yetu ya  Taifa “Taifa Stars”.  Mwana FA, Msanii na Mfanyabiashara ameposti ujumbe huu hapa katika ukurasa wake wa Instagram

Je unadhani yupo sahihi?  Tupe maoni yako, na sisi tunakuletea uchambuzi tofauti kuhusu mbinu za Amunike katika mechi zilizopita.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x