Blog

Upo tayari kushabikia mpinzani wako?

Sambaza kwa marafiki....

“”Je kwa mfano wewe ni shabiki wa Yanga au Simba, au timu yoyote, uko tayari kuingia uwanjani kushangilia mpinzani wako anapokuwa na mechi tofauti na timu yako? Hebu sema ukweli wako ?.


Tupe maoni yako kupitia #KandandaChatLeo

Tuandikie hapo chini kwa kutumia akaunti yako ya Facebook.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.