Blog

Yanga yaweka kambi ya 155M

Sambaza....

Kwa odds nzuri kwenye kubet tembelea Betika https://bit.ly/2Dds8NJ

Klabu ya Yanga imekodi nyumba 15 kwenye eneo la Evic Town ikiwa kuna nyumba zinatumiwa na wachezaji 3, zingine 2 huku baadhi ya viongozi wa Bechi la Ufundi kama kocha mkuu atakaa pekee ake.

-Gharama za kila nyumba ni shilingi 1,143,000/- kwa mwezi mmoja hivyo Yanga italipa kiasi cha shilingi 17,145,000 kwa mwezi, kwa kipindi cha msimu mmoja (miezi 8) Klabu hiyo italazimika kulipa shilingi 137,160,000/-

-Pia Yanga italazimika kulipa gharama za usimamizi wa nyumba, maji na Umeme kwa nyumba moja ni shilingi 150,000 kwa mwezi kwa nyumba 15 ni shilingi 2,250,000 kwa msimu ni jumla ya Fedha Milioni 18 jumla kuu kwa msimu Yanga itatumia shilingi Milioni 155 kwa ajili ya kambi


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.