Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Mashindano

Kocha St Louis amsifu kipa

Kocha mkuu wa St Louis ya Shelisheli, Ourlie Mathiot, amesema kuwa golikipa wake ndiye alikuwa kikwazo cha Yanga kuweza kupata mabao mengi katika mchezo wa leo uliowakutanisha na mabingwa hao wa Tanzania Katika mchezo huo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya awali, ambao Yanga wameibuka wababe kwa ushindi wa...
Blog

Tenga ateuliwa kuongoza BMT

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Dk. Harrison Mwakyembe amemteua raisi wa zamani wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Leodigar Chilla Tenga kuwa mwenyekiti wa Baraza la michezo nchini (BMT). Katika taarifa hiyo iliyotolewa leo na kaimu mkuu wa idara ya mawasiliano serikalini, Wizara ya Habari, Utamaduni,...
ASFC

Yanga sc yapewa mtihani mwingine

Yanga sc itakumbana na Majimaji FC katika hatua ya 16 bora, ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Katika droo iliyofanyika leo kunako kituo cha Azam TV, michezo yote ya hatua hiyo ya michuano ya kombe la shirikisho la soka nchini (TFF) imepangwa kufanyika Februari 22 na 25 Pia...
Ligi Kuu

Tathimini ya mchezo Simba vs Azam fc

Mtanange wa soka kati ya Simba sc dhidi ya Azam fc umemalizika kwenye uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es salaam kwa Simba sc kuibuka wababe kwa ushindi wa bao 1-0 Alikuwa ni Emmanuel Okwi aliweza kuwapa furaha mashabiki wa Simba hii leo, baada kuitumia vema pasi ya Asante Kwasi....
Ligi Kuu

Uchambuzi Simba sc vs Azam fc

Kwa kuutazamia mchezo kati wenyeji Simba sc dhidi ya Azam fc, kwa hakika utakuwa ni mchezo mzuri na wenye ushindani mkubwa kwa kuzingatia ubora mabenchi ya ufundi na nafasi katika msimamo wa ligi ikiongeaza changamoto kwenye mchezo huo Simba sc, ambao ni vinara wa ligi hiyo mpaka sasa wakiwa na...
Ligi Kuu

Sure boy kuivaa Simba sc leo

Kiungo mzoefu wa Azam fc Salumu Abubakar maarufu kama "Sure boy" huenda akawemo kwenye kikosi kitakachoivaa Simba sc leo jioni Katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, unaotaraji kupigwa kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam Kiungo huyo alikosa mchezo dhidi ya Ndanda fc, akitumikia adhabu ya...
Ligi Kuu

Biashara Fc yaamsha nderemo Mara

Shangwe, vifijo na nderemo jana vilitawara katika mkoa wa Mara, baada ya timu yao ya soka ya Biashara kufanikiwa kupanda ligi kuu ya soka Tanzania bara Biashara imefanikiwa kupanda baada ya kuitandika Transit camp kwa mabao 3-2 katika mchezo uliokuwa mkali na wa kusimua kwa dakika zote 90 Kwa matokeo...
EPL

Pep Akataa Kumlaumu Sterling, Sanchez na Lukaku Waibeba Man U

Kocha wa Manchester city Pep Guardiola, amekataa kumlaumu mshambuliaji wake Raheem Sterling baada kikosi chake kushindwa kupata ushindi dhidi Bunley huku mshambuliaji huyo akikosa nafasi ya pekee. Ikiwa mbele kwa bao 1-0 na dakika 18, zikisalia ili mchezo huo kumalizika, Sterling alishindwa kufunga akiwa ndani ya sita baada ya kupokea...
Ligi Kuu

Coastal Union, KMC zatinga ligi kuu

Vilabu vya Coastal Union ya Tanga, na KMC ya Kinondoni Jijini Dar es salaam jioni ya leo zimepata nafasi ya kupanda ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao. Coastal Union imekata tiketi hiyo baada ya kuitandika Mawenzi market kwa 2-0 katika mchezo uliofanyikwa kwenye dimba la Jamhuri mjini Morogoro....
EPL

Hawa Wanavuta Mkwanja Mrefu EPL

Soka ni mchezo pendwa sana na yawezekana ndio unaoongozwa, katika michezo yote duniani ni mchezo ambao una umri wa karne moja na miongo miwili toka kuanzishwa kwake mwishoni mwa karne ya 19 Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana kuutazama, licha matokeo ya kustaajabisha ambayo hutokea kwenye mechi zake lakini pia...
1 11 12 13 14 15 17
Page 13 of 17