Sambaza....

Soka ni mchezo pendwa sana na yawezekana ndio unaoongozwa, katika michezo yote duniani ni mchezo ambao una umri wa karne moja na miongo miwili toka kuanzishwa kwake mwishoni mwa karne ya 19

Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana kuutazama, licha matokeo ya kustaajabisha ambayo hutokea kwenye mechi zake lakini pia tumeshudia uwekezaji mkubwa ukifanyika katika mchezo huo

Vilabu vya mchezo huu, vimekuwa vikijiingizia pato kubwa kutokana na biashara mbalimbali zinazofanyika zikihusisha nyanja tofauti, lakini pia vimekuwa vikilipa mkwanja mlefu kwa wachezaji wake katika ligi mbalimbali Duniani

Nchini Uingereza mahala ambapo ligi yake imekuwa maarufu sana Duniani, ikijulikana kama English Premier League (EPL) kuna baadhi ya wachezaji wanavuna mkwanja mlefu sana, na hii ni orodha ya wachezaji hao na mkwanja wanauvuta kwa wiki

1. Alexia Sanchez- Manchester United £350,000

2. Mesut Ozil- Arsenal £300,000

3. Paul Pogba- Manchester United £290,000

4. Kelvin De Bruyne- Manchester City £280,000

5. Romelu Lukaku- Manchester United £250,000

6. Sergio Aguero- Manchester City £220,000

Yahaya Toure- Manchester City £220,000

Zlatan Ibrahimovic- Manchester United £220,000

9. David De Gea- Manchester United £200,000

Eden Hazard- Chelsea £200,000

10. Virgil Van Dijik- Liverpool £180,000

Pierre Emerick Aubameyang- Arsenal £180,000

11. Alexander lacazette- Arsenal £170,000

12. David Silva- Manchester city £160,000

13. Fransisco Cesc Fabrigas- Chelsea £150,000

Alvaro Morata- Chelsea £150,000

Daniel Sturridge- Liverpool £150,000

Ross Barkley- Chelsea £150,000

14. Juan Matta- Manchester United £145, 000

15. Raheem Sterling- Manchester city £135,000

Sambaza....