Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Tahariri

Nini kifanyike ili Tanzania tupige hatua katika soka

Mchezo wa soka ni taaluma kamili inayojitegemea ambayo ina misingi yake mikubwa kwenye soka la vijana, ambayo wachezaji wadogo au vijana huanza hatua yao ya kwanza kwenye soka, lazima tukubali kuwa hakuna njia ya mkato kwenye mchezo soka, nchi yoyote inayotaka mafaniko yake lazima ipite katika misingi sahihi Katika kipindi...
Ligi Kuu

Taa yenye mwanga wa dhahabu ndani ya Yanga SC

Hakika Afrika ina kila sababu ya kujivunia kuwa na Kocha wa aina ya George Lwandamina "Chicken", Ni mtu mwenye kariba ya Upole na utaratibu pamoja na utu uliopindukia lakini ndani ya kichwa chake kuna madini ya ujuzi wa ajabu katika Mpira wa miguu, Ana leseni A UEFA ya ukocha, Ukocha...
Ligi Kuu

Hili ndio tatizo la Ndanda!

Kwa kuutazamia mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara maarufu kama Vodacom premier league baina ya wenyeji Ndanda FC dhidi ya Yanga sc Bila shaka utakuwa mchezo wenye ushindani mkubwa kutokana na nafasi katika msimamo wa ligi lakini pia ubora vikosi na mabenchi ya ufundi kwa timu zote mbili...
Blog

Abdi Banda ataendelea kuchanja mbuga

Tovuti ya Kandanda ilipata nfasi ya kufanya mahojiano mtandaoni na mlinzi wa Tanzania anayechezea klabu ya Baroka FC ya nchini Afrika kusini. Haya ni maswali yetu ambayo tulimuuliza tumekuwekea hapa uweze kuyapata pia. Historia yako fupi mpaka kufikia hapo Baroka Kwa kifupi, nilianzia Kombezi Academy kwa mwalimu Khalfan Kamote ndio...
Ligi Kuu

Simbasc Yatakata, Yaendela Kujichimbia Kileleni

Simba sc, imeisambaratisha Mbao FC kwa mabao 5-0 na kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, maarufu kama Vodacom Premier League Mchezo huo uliofanyika kunako uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Simba walijipatia bao la kwanza kunako dakika ya 37, kupitia kwa Shiza Kichuya...
Blog

Manchester City yaifikia rekodi ya Manchester United

Manchester City imeichapa Arsenal mabao 3-0, katika mchezo wa fainali ya kombe la ligi likijulikana kama Carabao Cup na kutawazwa kuwa mabingwa wa kombe hilo Katika mchezo huo uliofanyika kunako uwanja wa Wembley na kuamuliwa na mwamuzi Craig Pawson Manchester City walipata bao la kwanza dakika ya 19 kupitia kwa...
Blog

Maneno ya Banda kwa wanamichezo wa Bongo

Beki wa kati wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda, amewataka wachezaji na makocha wa Tanzania kutoka nje ili kujifunza na kuona wenzao wanaendeleaje Akizungumza na mwandishi wa  tovuti ya Kandanda, Banda alisema kuwa ili kupata timu bora ya taifa kunahitaji kuwa na wachezaji wengi wanaocheza soka nje na ikibidi hata...
EPL

Pep Guardiola ashitakiwa Uingereza

Meneja wa klabu wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola, ameshatakiwa na chama cha soka cha Uingereza (FA) kwa kosa la kuvaa riboni yenye ujumbe wa kisiasa Meneja huyo alivaa riboni hiyo, kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Wigan Athletic ambapo alipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na kuondolewa...
1 9 10 11 12 13 17
Page 11 of 17