Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Ligi Kuu

Tathimini ya mzunguuko wa ligi kuu ya soka Tanzania bara

Mzunguuko wa kwanza wa ligi kuu ya soka Tanzania bara ulikamilika mwishoni mwa juma lililopita huku ukishudiwa na changamoto mbalambali. Simba sc wao wameibuka vinara katika mzunguuko huo wa kwanza, jumla ya alama 35 wamekusanya na kwa hakika msimu huu kikosi chao kimesheheni wacheza nyota hii tofauti sana na misimu...
ASFC

Yanga chupuchupu kwa kwa Ihefu FC

Klabu ya soka ya Yanga imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada kupata wa mabao 4-3 kwa njia ya penati Golikipa Youth Rostand ndiye shujaa wa Yanga kwa siku ya leo baada kupangua penati tatu, na kuiwezesha timu yake kutinga hatua ya 16...
Uhamisho

Gabr atua West Bromwich Albion

Klabu ya West Bromwich Albion imethibitisha kumsainisha mkataba wa mkopo beki Ali Gabr wa Zamalek ya Misri mpaka mwishoni mwa msimu huu West Bromwich Albion imetangaza usajili huo kupitia tovuti yake, na ikieleza kuwa Gabr ataungana na raia mwenzake wa Misri Ahmed Hegaz kwenye safu yao ya ulinzi "Ni mchezaji...
Ligi Kuu

Simba SC wayanywa maji ya Songea

Kocha mpya wa Simba sc, Pierre Lechentre, amekuwa na mwanzo mzuri baada ya kukiongoza kikosi chake hii leo kwa kuwacha Majimaji FC ya Songea kwa mabao 4-0 katika mchezo wa ligi soka Tanzania bara Simba 4 - 0 Majimaji Kwa ushindi huo, unaifanya Simba kumaliza mzunguuko wa kwanza ikiwa kileleni...
Ligi Kuu

Yanga ilikuwa bora zaidi dhidi ya Azam

Ni moja kati ya mechi nzuri ya kuvutia na iliyokuwa na ushindani wa kimbinu kwa pande zote, naweza nikasema timu zimeonesha kwa nini zipo nafasi za juu kunako msimamo wa ligi Azam FC ambao wenyewe ndio walikuwa wenyeji wakicheza kwenye uwanja wao wa Azam complex, ambapo waliingia kwenye mchezo wa...
Ligi Kuu

Azam vs Yanga katika rekodi zao

Yanga na Azam FC zinatenganishwa na bao moja na ushindi mmoja pekee katika rekodi zao za muda wote katika mashindano yote. Bao linalowatenganisha lilifungwa dakika ya 70 ya mchezo wao wa Aprili Mosi, 2017 na Obrey Chirwa. Rekodi ya Yanga dhidi ya Azam FC Kwa hiyo mchezo huu utakuwa VITA...
Ligi Kuu

Saba wa Yanga kuikosa Azam fc kesho

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, kesho Jumamosi watakua ugenini kwenye uwanja wa Azam complex kuwakabili wenyeji wao Azam FC Katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga itawakosa nyota wake saba waliomajeruhi na mmoja akitumikia adhabu ya kuwa na kadi tatu za njano Wachezaji hao...
Ligi Kuu

CAF huenda wakaitembelea Tanzania

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu kwenye upande wa miundo mbinu Caf wakankusudia kufanya ukaguzi huo, wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo huo unatekelezeka ipasavyo kwa kuanzia na mtazamo wa vigezo vya miundo mbinu Wakati wa miaka...
Ligi Kuu

Kocha msaidizi wa Mwadui FC afariki Dunia

Kocha msaidizi wa Mwadui FC, Jumanne Ntambi, amefariki dunia usiku wa leo baada ya kuanguka bafuni akiwa anakoga nyumbani kwake mkoani Shinyanga Taarifa zinasema mara baada ya kuanguka kocha Ntambi alikimbizwa hospitali ambako walipofika walisema tayari ameshafariki Ntambi alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu na hivi karibuni alikwenda...
1 12 13 14 15 16 17
Page 14 of 17