LigiLigi Kuu

Alliance waipigia mazoezi ya kijeshi Biashara United.

Klabu ya soka ya Alliance ya jijini Mwanza chini ya kocha Malale Hamsini Keya imeendelea kujifua katika uwanja wa Nyamagana uliopo katikati ya jijini la Mwanza kwa ajili ya michezo ijayo ya ligi kuu soka Tanzania Bara. Malale ambaye hajashinda mchezo wowote toka alipochukua kijiti cha kocha Mbwana Makata aliyetimuliwa...
Blog

Chirwa kuanza kuichezea Azam raundi ya pili.

Klabu ya soka ya Azam imewapa mapumziko wachezaji wake hadi Jumatatu watakapoingia kambini rasmi kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Wanatam Tam Mtibwa Sugar, Disemba 29 mwaka huu kwenye uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro. Kubwa zaidi kuelekea katika mchezo huo ni kuwepo kwa mchezaji wa kimataifa Obrey Chirwaambaye...
Ligi Kuu

Azam wampeleka Abdallah Kheri nchini Afrika kusini.

Klabu ya soka ya Azam imefikia maamuzi ya kumsafirisha beki wao Abdallah Kheri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kina baada ya kuumia goti lake wakati akifanya mazoezi na timu ya vijana. Afisa Habari wa Azam Jaffary Idd Maganga amesema maamuzi hayo yamefikiwa baada ya kutambua...
Blog

Donnarumma aweka rekodi ya ajabu Seria A.

Mlinda Mlango wa timu ya soka ya AC Milan Gianluigi Donnarumma ameweka rekodi ya aina yake kwa kuwa mchezaji wa kwanza kwenye ligikuu nchini Italy ‘Seria A’ kucheza michezo 100 mfululizo kwa dakika zote 90 akiwa na umri wa miaka 19 pekee. Donnarumma ameweka rekodi hiyo ya kipekee wakati akiitumikia...
Blog

Chelsea kuipitia video ya tukio la ubaguzi wa rangi kwa Raheem Sterling.

Klabu ya Chelsea imesema itapitia tena video inaonesha mashabiki wake wakimtupia maneno winga wa Manchester City Raheem Sterling, maneno ambayo yanadhaniwa kuwani ya kibaguzi wakati wa mchezo wao jana Jumamosi. Katika video hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii inaonesha Mashabiki wa Chelsea wakitoa maneno makali kwa Sterling wakati akienda kuokota...
1 13 14 15 16 17 34
Page 15 of 34