Ligi Kuu

Zahera awagomea Maproo wa Yanga, kumuombea radhi Kakolanya.

Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekubali ombi la kukutana na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo hapo kesho lakini kwa sharti la kutozungumzia suala linalomuhusu mlinda mlango Beno Kakolanya. Zahera ameuambia mtandao huu kuwa alipata taarifa kuwa kuna wachezaji waliowahi kuichezea Yanga wametaka kuzungumza naye lakini katika kudodosa alifahamu...
Ligi Kuu

Maandalizi ya Yanga dhidi ya MCC yakamilika.

Afisa Habari wa klabu ya soka ya Yanga Dismas Ten amesema maandalizi kuelekea katika mchezo wao wa Ligi dhidi ya Mbeya City yanaendelea vizuri na kwamba Kati ya wachezaji 20 ambao wamesafiri na timu hakuna ambaye anamajeraha yatakayomuweka nje ya mchezo huo.
ASFCBlog

Mashujaa: Ushindi wa Simba ni dalili ya kupanda ligi kuu.

Kocha wa timu ya soka ya Mashujaa ya mkoani Kigoma Funga Machunga Amesema nidhamu ya mchezo ndio sababu ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC katika mchezo wa raundi ya tatu michuano ya Azam Sports Federation Cup. Manyundu amesema wachezaji wake...
1 11 12 13 14 15 34
Page 13 of 34