Sambaza....

Mlinzi wa Barcelona Gerald Pique anaweza kuwa mchezaji wa 36 kucheza michezo 100 ya ligi ya Mabingwa Ulaya usiku timu yake itakapocheza na Tottenham Hotspur kwenye uwanja wa Wembley jijini London.

Pique anaweza kuiongoza Barcelona leo ambao walishinda katika mchezo wao wa kwanza kwa mabao 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven.

Hawa ni wachezaji wengine ambao wameshacheza michezo 100 na zaidi kwenye ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.

168 Iker Casillas (Real Madrid 150, Porto 18)

154 Cristiano Ronaldo (Manchester United 52, Real Madrid 101, Juventus 1)*

151 Xavi Hernández (Barcelona)

142 Raúl González (Real Madrid 130, Schalke 12)

141 Ryan Giggs (Manchester United)

130 Andrés Iniesta (Barcelona)

126 Lionel Messi (Barcelona)

125 Clarence Seedorf (Ajax 11, Real Madrid 25, AC Milan 89)

124 Paul Scholes (Manchester United)

120 Zlatan Ibrahimović (Ajax 19, Juventus 19, Internazionale Milano 22, Barcelona 10, AC Milan 16, Paris Saint-Germain 33, Manchester United 1)

120 Roberto Carlos (Real Madrid 107, Fenerbahçe 13)

119 Xabi Alonso (Real Sociedad 8, Liverpool 39, Real Madrid 47, Bayern München 25)

117 Gianluigi Buffon (Parma 6, Juventus 111)

115 Carles Puyol (Barcelona)

115 Sergio Ramos (Real Madrid)

112 Thierry Henry (Monaco 9, Barcelona 26, Arsenal 77)

112 Philipp Lahm (Stuttgart 7, Bayern München 105)

111 Petr Čech (Sparta Praha 12, Chelsea 94, Arsenal 5)

109 Paolo Maldini (AC Milan)

109 Gary Neville (Manchester United)

109 John Terry (Chelsea)

108 Dani Alves (Sevilla 8, Barcelona 80, Juventus 12, Paris Saint-Germain 8)

108 Ashley Cole (Arsenal 45, Chelsea 60, Roma 3)

108 Patrice Evra (Monaco 21, Manchester United 65, Juventus 22)

108 Andrea Pirlo (Internazionale Milano 5, AC Milan 78, Juventus 25)

107 David Beckham (Manchester United 77, Real Madrid 26, AC Milan 2, Paris Saint-Germain 2)

107 Arjen Robben (PSV Eindhoven 10, Chelsea 19, Real Madrid 11, Bayern München 67)

106 Víctor Valdés (Barcelona)

105 Frank Lampard (Chelsea 102, Manchester City 3)

105 Karim Benzema (Lyon 19, Real Madrid 86)

104 Cesc Fàbregas (Arsenal 55, Barcelona 26, Chelsea 23)

103 Luís Figo (Barcelona 24, Real Madrid 58, Internazionale Milano 21)

103 Oliver Kahn (Bayern München)

100 Andriy Shevchenko (AC Milan 59, Chelsea 15, Dynamo Kyiv 26)

101 Thomas Müller (Bayern München)

Sambaza....