Blog

Nyota wa Simba waondolewa Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike amewaondoa kikosini wachezaji sita wa timu ya soka ya  Simba ya jijini Dar es Salaam isipokuwa golikipa Aishi Manula wakidaiwa kutoripoti kambini kwa wakati, na ameteua wachezaji wengine kuziba nafasi zao. Wachezaji walioondolewa ni pamoja na...
Mabingwa Afrika

TP Mazembe waiua ndoto ya Msuva Klabu Bingwa

Mtanzania Simon HappyGod Msuva ameshindwa kuifikia ndoto yake ya kucheza hatua ya robo fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya timu yake ya Difaa El Jadidi kutoka sare ya bao 1-1 na TP Mazembe katika mchezo wa mwisho wa B na kushika nafasi ya tatu. Katika mchezo Simon...
Blog

Burudani ya Yanga vs Singida Utd yatua Kigoma

Mkoa wa Kigoma unatarajia kushuhudia burudani kubwa ya soka baada ya zaidi ya miaka 20, Pale ambapo mabingwa wa kihistoria Yanga watakapocheza mchezo wa kirafiki na Singida United kutoka mkoani Singida. Mkurugenzi wa Singida United Festo Richard Sanga amesema mchezo huo ambao utapigwa katika uwanja wa Lake Tanganyika, Septemba 05,...
Mataifa Afrika U17

CAF waridhishwa na maandalizi ya AFCON U17

Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahamd Ahmad amesema ameridhishwa na maandalizi ya michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (AFCON). Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 AFCON yanayotarajiwa kufanyika mwaka 2019 nchini Tanzania. Ameyasema hayo...
EPL

Kipatacho: Sare na Alliance ni ya malengo.

Meneja wa timu ya soka ya African Lyon, Adam Kipatacho amesema sare ya mchezo wao dhidi ya Alliance kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara uliofanyika CCM Kirumba ilipatikana baada ya lengo la kulilinda bao walilolipata kipindi cha kwanza kushindikana. Kipatacho amesema sio kwamba walizidiwa katika mchezo hadi kuruhusu...
Ligi Kuu

Beki Mwadui FC, aitamani Singida Utd

Beki wa pembeni wa Mwadui FC, Miraji Makka amesema baada ya timu yake kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Kagera Sugar, wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya Singida United katika mchezo wa ligi Kuu bara utakaofanyika Jumamosi hii kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida. Akizungumza na mtandao huu Makka...
Ligi Kuu

Alliance FC ‘kuanza ligi’ dhidi ya African Lyon.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha klabu ya Soka ya Alliance ya Jijini Mwanza Jackson Luka Mwafulango amesema maandalizi kuelekea katika mchezo wa pili wa ligi dhidi ya African Lyon yanaendelea vizuri. Mwafulango amesema kwa sasa wamesahau yaliyopita katika mchezo wa kwanza dhidi ya Mbao ambapo walipoteza kwa...
Blog

Yanga, Simba watupwa kundi moja michuano ya Kagame CECAFA Cup

Baraza la vyama vya soka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza ratiba pamoja na makundi ya michuano ya Kagame CECAFA Cup inayotarajiwa kuanza Juni 28 hadi Julai 13 Mwaka huu jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Azam Complex na uwanja wa Taifa. Katika hali ya kushangaza na...
Kombe la Dunia

Majina ya wachezaji wa timu zote 32 kombe la dunia

Shirikisho la Kandanda Ulimwenguni (FIFA) limethibitisha majina ya wachezaji 736 kutoka katika vikosi vya timu 32 ambazo zitashiriki michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza Juni 14 hadi Julai 15 mwaka huu. Mtandao huu umekuletea majina ya wachezaji 23 kutoka katika kila timu ambao wamepita mchujo wa mwisho kwa ajili...
1 28 29 30 31 32 34
Page 30 of 34