Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi

Kocha wa Simba amtamani Golikipa wa KMC

Jana kulikuwa na mchezo Kati ya KMC na Simba katika uwanja wa uhuru , mechi ambayo ilimalizika kwa Simba kushinda goli 2-0 na kuzidi kujikita kileleni kwa jumla ya alama 21.   Baada ya mchezo huo kocha wa Simba alisema kuwa timu yake haikucheza vizuri hasa hasa kipindi cha kwanza...
Blog

Zahera hana huruma, apania kuwafilisi YANGA

Muda kadhaa umepita mpaka sasa hivi tangu Yanga ilipoamua kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Mwinyi Zahera kutokana na timu kutofanya vizuri katika michezo ya kimataifa Baada ya kutolewa na Pyramid FC ya Misri. Baada ya kuachana na Yanga Mwinyi Zahera alikuwa bado anawadai Yanga haki zake na...
Ligi

SABABU Kwanini FRAGA ni bora kuzidi KOTEI

Jana kulikuwa na mechi kati ya Simba na KMC katika uwanja wa uhuru , mechi ambayo tulishuhudia Simba wakishinda goli 2-0, magoli yaliyofungwa na Deo Kanda pamoja na Greson Fraga, ushindi huo umewafanya Simba wafikishe alama 31 wakiwa kileleni. Katika mechi hiyo tumeendelea kushuhudia kiwango bora cha kiungo mkabaji Greson...
Ligi

Hakuna MU-BRAZIL mjinga, SIMBA yaitisha Yanga

Baada ya Jana Yanga kushinda kwa goli moja kwa bila dhidi ya Prisons kwenye mechi iliyochezwa Iringa katika uwanja wa Samora , Leo hii Simba ilikuwa inasubiriwa kuwajibu Yanga. Simba ilikuwa na mechi kwenye uwanja wa Uhuru dhidi ya KMC,  mechi ambayo imeisha kwa Simba kushinda kwa magoli mawili. Magoli...
Blog

Bila SIMBA , Uwanja wa Taifa Usingejengwa na MKAPA!

Inawezekana kuna swali kubwa ambalo huwa linazunguka kichwani mwako, ni kipi kilikuwa chanzo kikuu cha Rais wa awamu ya tatu Ndg Benjamini William Mkapa kujenga kiwanja cha taifa. Mwaka 2003 baada ya Simba Sponga kuiondosha Zamalek kwenye Michuano ya Vilabu Bingwa vya Afrika. Siku hiyo hiyo Bwana Benjamin William Mkapa...
Ligi

Sibomana azidi kumburuza Kagere

Ule mchezo ambao ulitakiwa kuchezwa katika uwanja Sokoine mjini Mbeya Kati ya Prisons na Yanga na kuhamishwa kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa kutokana na uwanja wa Sokoine kuharibiwa vibaya eneo la kuchezea. Mechi hiyo ambayo imechezwa muda wa saa kumi jioni ya Leo tumeshuhudia Yanga akiibuka na ushindi wa...
Blog

Uwanja wa YANGA uitwe RWANDA AIR

  Moja ya kitu ambacho kwa sasa Yanga kinawauma sana ni kuiona Simba ikiwa na uwanja wake wa mazoezi. Hiki kinawauma sana , ikizingatia wao hawana kiwanja na pia Simba ni wapinzani wao wakubwa sana. Kitu kibaya ambacho Yanga watakifanya kwa sasa ni wao kuendelea kukaaa chini huku wakiumia kwa...
1 21 22 23 24 25 79
Page 23 of 79