Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi

Baba yangu mzazi ana akili za muuza ubuyu -HAJI MANARA

  Kuelekea mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga tambo zinazidi kuwa nyingi ambapo Leo msemaji mkuu wa Simba amedai kuwa mashabiki wa Yanga wanapokutana akili zinakuwa moja. "Wewe mchukue profesa yoyote wa chuo kikuu, mchukue profesa ambaye ni daktari bingwa ambaye ni shabiki wa Yanga afu...
Ligi

Realmadrid kuibomoa Liverpool

Magoli 14 na pasi 8 za magoli , hizi ni takwimu ambazo msimu huu Saido Mane ameziweka. Saido Mane kwa sasa amekuwa mchezaji ambaye anafanya vizuri sana duniani. Amekuwa mshambuliaji hatari zaidi duniani kwa sasa. Realmadrid imeamua kumnyatia mshambuliaji huyo. Tangu aondoke Cristiano Ronaldo hakuna mchezaji anayetokea pembeni na kufunga...
Blog

Simba yamtema Mbrazil Galasa !

Leo kulikuwa na mkutano wa waandishi wa Habari na klabu ya Simba ambapo msemaji wa klabu hiyo pamoja na mtendaji mkuu wa klabu hiyo walikuwa wamazungumza kuelekea kwenye mechi ya watani wa jadi,  kwenye mkutano huo kuna mengi yamejitokeza. Moja ya kitu ambacho mtendaji mkuu wa Simba alikitolea ufafanusi nitetesi...
Ligi

Nimeshakomaa, lazima niwafunge Simba-NCHIMBI

  Baada ya tetesi zilizokuwa zimeeenea kuhusu uhamisho wa Ditram Nchimbi kutoka Azam FC kwenda Yanga kwa uhamisho wa milioni 20 , Leo hii tetesi zimekamilika na kuwa kitu halisi , Ditram Nchimbi ni mchezaji halali wa Yanga. Safari ilianzia nchini Uganda , mmoja wa wadhamini wa Yanga , GSM amesafiri...
Ligi

Kina Ajib wameridhika sana- Kocha wa Simba

Simba jana imeongeza pengo la alama kati yake na Yanga na kufikia alama 10, ambapo Simba ina alama 34 na Yanga ina alama 24 na hii ni Baada ya Simba kushinda mechi ya Jana magoli 2-0, magoli ya Deo Kanda na Francis Kahata. Akizungumza Baada ya mchezo huo kocha mkuu...
Ligi

Okwi wa nini ?, tunaye Deo Kanda

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea tena Leo kwenye uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam ambapo Simba ilikuwa inaikaribisha Ndanda FC na Simba ikafanikiwa kushinda magoli 2-0. Magoli ya Simba yalifungwa na Francis Kahata aliyefunga kwa mpira wa adhabu karibu kabisa na eneo la hatari. Kipindi cha pili Simba waliongeza...
Ligi

Tariq Seif atumia mechi moja tu kumfikia Kagere !

Jana kulikuwa na mechi kati ya Yanga na Biashara United katika uwanja wa Taifa , mechi ambayo tulishuhudia ikimalizika kwa Yanga kushinda goli 1-0 , goli lililofungwa dakika 84 na mchezaji wa zamani wa Biashara United ambaye kwa sasa anacheza Yanga Tariq Seif. Mtandao wa Kandanda . Co. Tz huwa...
Ligi

Molinga agoma na kususa tena YANGA

Leo kwenye mechi ya ligi kuu Kati ya Yanga na Biashara United kwenye uwanja wa Taifa , kulitokea kitu kimoja ambacho kimebaki kuwastaabisha wengine. Wakati kipindi cha pili kikianza tulishuhudia mshambuliaji mpya Yikpe Dominick akiingia uwanjani kuchukua nafasi ya David Molinga. Lakini cha kushangaza Yikpe Dominick aliingia moja kwa moja...
Blog

Rasmi njaa yaisha YANGA , wachezaji kunenepa!

Baada ya kupitia nyakati ngumu , klabu ya Yanga kwa sasa iko kwenye nyakati za Neema. Yanga ilikuwa imeshindwa kulipa mishahara kwa wachezaji wake mpaka kufikia wakati wa baadhi ya wachezaji kuandika barua za kuomba kuvunja mkataba kutokana na kutolipwa. Kupitia kwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga , Antonio Nugaz kwa...
1 20 21 22 23 24 79
Page 22 of 79