Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi

Udhaifu wa AISHI MANULA huu hapa.

Jana kulikuwa na mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga , mechi ambayo ilimalizika kwa timu zote kutoka sare ya magoli 2-2 , sare ambayo ilionekana kutopokelewa vizuri na mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga kuonekana kuipokea vizuri. Na moja ya lawama ambazo zinaongelewa sana ni...
Ligi

Wachezaji watatu waliobeba YANGA, Tshishimbi BABA LAO !

  Nyasi za uwanja wa Taifa zilishuhudia wanaume wawili wakigawana alama moja kwa moja katika mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya magoli mawili , magoli ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere , Deo Kanda huku magoli ya Yanga yalifungwa na Balama Mapinduzi na Mohammed Banka. Hawa ni wachezaji watatu ambao...
Ligi

Wachezaji wanne wa SIMBA waliocheza chini ya kiwango jana

Hatimaye Kariakoo Derby imeisha , imeisha katika mazingira ambayo yalikuwa ni mazingira sahihi kwa kila upande , sare ilikuwa sahihi kwa timu mbili , lakini pamoja na upatikanaji wa ile Sare , kuna baadhi ya Simba wachezaji wa Simba ambao walikuwa wanacheza maeneo muhimu hawakuwa kwenye kiwango bora. MEDDIE KAGERE...
Ligi

Sababu kwanini YANGA wataifunga SIMBA

Leo ndiyo tarehe nne mwezi wa kwanza mwaka 2020, tarehe ambayo wengi walikuwa wanaisubiri kwa hamu kwa sababu ya mechi kati ya Simba na Yanga itakayochezwa katika uwanja wa Taifa Dar -es- Salaam , zifuatazo ni sababu ambazo kwanini Yanga wanaweza kuifunga Simba Leo. KUJIAMINI SANA KWA SIMBA Simba inajiamini...
Ligi

SIMBA itafungwa na hawa wachezaji wa YANGA

Kesho Tanzania inasimama kwa dakika 90 Kila hisia zitakuwa Chang'ombe , sehemu ambayo inamiliki uwanja wa Taifa , uwanja ambao utaandaa mechi kati ya Simba na Yanga , mechi kubwa Afrika Mashariki na Kati. Simba inaingia ikiwa inaizidi Yanga alama 10, Simba ina alama 34 na Yanga ina alama 24....
Ligi

Wachezaji watano wa SIMBA watakaouia YANGA

Kesho ndiyo mechi ya watani wa jadi , mechi ambayo tutashuhudia nyasi za uwanja wa Taifa zikiwa moto . Timu zote katika mechi nne zilizopita hazijaruhusu hata goli moja, huku Yanga ikishinda mechi tatu na kutoka Suluhu mechi moja, huku Simba ikishinda mechi zote nne. Wafuatao ni wachezaji hatari zaidi...
EPL

Wachezaji watano waliombeba Arteta jana dhidi ya Manchester United

  Jana Mikel Arteta alipata ushindi wake wa kwanza tangu aichukue Arsenal kama kocha mkuu. Mechi yake ya kwanza ya mashindano ilikuwa dhidi ya AFC Bournamouth alitoka sare kisha akafungwa na Chelsea na jana akashinda dhidi ya Manchester United. Wafuatao ni wachezaji watano waliombeba jana. LACAZETTE Inawezekana kwenye mechi zote...
Ligi

Niyonzima kutua leo kwa ajili ya kuiua Simba

Dirisha dogo la usajili msimu huu lilifunguliwa na Yanga walihakikisha wanaanza kujiimarisha sehemu ambazo waliona wao kama wao wana mapungufu kwa kiasi kikubwa. Kwenye dirisha dogo walifanikiwa kumsajili Tariq Seif , Ditram Nchimbi, Yikpe Domminick mchezaji kutoka Ivory Coast na kumrejesha kundini Haruna Niyonzima. Tariq Seif akiwa katika jezi ya...
Tetesi

Kiungo aliyeikataa YANGA, kutua SIMBA leo mchana!

Tangu dirisha dogo la usajili lifunguliwe klabu ya Simba hajitangaza mchezaji yoyote ambaye wamemsajili zaidi ya kuwaona Yanga wakiendelea kusajili kwa tambo. Leo hii msemaji mkuu wa Simba , Haji Manara amedai kuwa kuna wachezaji wawili ambao watawasili katika uwanja wa ndege kwa ajili ya kumalizana na Simba. "Leo hii...
1 19 20 21 22 23 79
Page 21 of 79