Raphael Daud, ni ngumu kuona Mawio kwenye taa za Kariakoo
Ni sehemu ndogo tu iliyopo Dar-es-Salaam, lakini ni sehemu ambayo ina umuhimu mkubwa sana hapa nchini, hapana shaka TRA hujivunia eneo hili. Hata wafanyabiashara hulitukuza eneo hili, utajiri wao ulianzia hapa na kukua hapa mpaka mitaani wakawa na heshima. Hapana shaka ndilo eneo ambalo huwezi kuwa mchezaji wa mpira wa...