Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Shirikisho Afrika

Giza la Yanga ni mwanga wa Simba

Jana giza liliingia mapema sana hapa nchini, giza ambalo lilikuja na majonzi makubwa sana kwa Watanzania wengi Muambatano huu wa giza na majonzi umedumu kwa muda mrefu bila mwanga kuonekana mbele ya mboni za macho yetu. Usiku umekuwa mrefu sana kwetu na kibaya zaidi usiku wetu ulianza mapema sana. Jua...
La Liga

Miguu ya kina Ramos imebeba matumaini ya Real Madrid

Santiago Bernabeu, uwanja ambao ulikuwa na nyasi ambazo zilichagua ng'ombe wa nyumbani kupata malisho. Kutoka na ubabe wa ng'ombe ngeni tulitegemea kwa kiasi kikubwa ungemfanya amzidi ng'ombe mwenyeji Magoli matatu yalitosha kumpa pumzi ndefu mwenyeji, pumzi ambayo anaenda nayo ƙkatika uwanja wa Parc des Princes. Uwanja ambao umekuwa siyo salama...
EPL

Kilichopo kwenye sura ya Chamberlain ndicho wanachokosa Arsenal

Wengi tulimshangaa kuona anaihama Arsenal na kwenda Liverpool. Macho yetu yalituonesha anatoka kwenye timu ambayo ana nafasi kubwa ya kupata nafasi na kwenda sehemu ambayo upatikanaji wa nafasi ulikuwa finyu kwa sababu kulikuwa na wachezaji ambao walionekana wana kiwango kikubwa zaidi yake. Sehemu ya kiungo cha katikati alipokuwa anataka kucheza...
Ligi Kuu

Kichwa cha MO-Ibrahim Kinaipeleka Miguu Yake Dimbwini

Where Am I ? Ni moja ya kitabu bora kabisa cha mwanafilosofia Daniel Dennett alichokiandika mwaka 1978. Kitabu ambacho alikitumia kuelezea umuhimu wa akili ya mwanadamu. Akili ambayo MUNGU aliiweka kichwani mwa mwanadamu kwa makusudi makubwa sana. Moja ya kusudi kubwa ni kumfanya mwanadamu aweze kutafasri kile anachokiona na kutafasri...
EPL

Wenger tazama muda umekuacha

Miaka 21 imepita, miaka yenye rangi mbili ndani ya maisha ya Arsene Wenger ndani ya kikosi cha Arsenal. Hapana shaka rangi nyeupe ilitanda katika ngozi ya mwili wake ndani ya miaka 10 ya kwanza. Miaka ambayo alifanikiwa kupata mafanikio makubwa katika soka la England. Mafanikio ambayo yalimpa heshima kubwa sana...
Ligi Kuu

Tatizo la Lwandamina ni kukimbia na tope mwili mzima

Huwezi sikia kelele za maumivu au za furaha kutoka kwake, uhakika wa hatua zake ndicho kilichopo kichwani mwake. Haijalishi njia anayopitia, kwake yeye kitu cha msingi kuuona mguu wake ukisimama na kusogea sehemu moja tofauti na aliyokuwepo awali. Ndiyo maana anatembea akiwa na jeshi dogo lakini lenye nguvu na ushikamano...
Ligi Kuu

Mabati ya Azam Fc, Yamenawirisha paa la Simba

Abdul Mohamed alikuwa na maono, maono ambayo yalikuwa ni msingi wa kuiimarisha Azam FC na kuwa timu imara kwa muda mrefu Aliamini katika karatasi zake alizotumia kuandika maono yake, usingizi ulikuwa siyo rafiki kwake bila kusoma karatasi za maono yake. Karatasi ambazo zilikuwa na njia ambayo ilikuwa inamuonesha ni wapi...
Ligi Kuu

Ghafla Nimemkumbuka “MO-Ibrahim”.

Msimu jana alishirikiana na kina Shiza Kichuya, Mzamiru Yasin kuibeba Simba. Pamoja na uzito wa Simba , ugumu wa njia walizokuwa wanapitia lakini walifanya kadri wanavyoweza kuibeba Simba. Simba ambayo ilikuwa bingwa wa kombe la chama cha soka nchini (TFF) Simba ambayo ilishika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya...
Ligi Kuu

Mikono Ya Kabwili Inapingana Na Hukumu Yetu Kwake

Nilikuwa naangalia marudio ya mechi ya Saint Louis na Yanga iliyochezwa Usherisheri. Katikati ya mechi nilibaki naangalia umbo la golikipa wa Yanga, Youthe Rostand. Umbo ambalo linamfaa golikipa yoyote kuwa nalo. Kimo chake kizuri , kimo kinachompa sifa ya ziada kama golikipa. Kuwa na umbo zuri hakutoshi kukufanya kuwa golikipa...
1 72 73 74 75 76 79
Page 74 of 79