Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Kwa kesi hii ya ugonjwa wa corona ni vyema basi FA za Hispania na England wakafiri ni jinsi gani wataweza kuwasiliana na kujenga ujamaa na FA ya China.
Simba wameonyesha matamanio na kiungo huyo Mkongo huku msemaji wao Hajji Manara akikiri hadharani kuhusudu uwezo wake akisema ni moja ya "box to box midfielder.
Mpaka sasa KMC inashika nafasi ya 19 ikiwa imecheza michezo 24 ikiwa na alama 21. Mchezo unaofwata katika VPL ni KMC dhidi ya Simba katika uwanja wa Taifa.