Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Nimefarahi sana kwa hizi zawadi ni kitu kikubwa sana kwangu, nimepata kumbukumbu sahihi kwangu na kwa timu. Inshaalah nategemea kuendelea kufanya vizuri ili niweze kuisaidia timu
Kwa matokeo hayo maana yake kwa msimu huu Coastal wamechukua alama zote sita kwa Azam fc baada ya raundi ya kwanza kuwafunga Azam moja bila katika dimba la Mkwakwani Tanga.
Hizi ni mechi za leo na kesho za mzunguko wa pili mzunguko wa 21. Kandanda tumekuwekea utabiri wetu wa kila mechi hapo chini. Unaweza kutupa na wewe pia
Timu hiyo imekua na rekodi nzuri katika Ligi ya kwao huku msimu ikishiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Timu hiyo ilikua kundi B pamoja na vigogo Bayern Munich na Totenham Hotspurs.
Wakati gani unahitaji kusheherekea? bila shaka ni wakati ambapo umefikia malengo ya kipindi husika. Hii ndio maana wachezaji hadi makocha hushangilia kwa ku'slide', ikionyesha jinsi raha ilivyo katika kupachika bao.
Hali imekua tofauti kwa timu ya Mtanzania Mbwana Samatta walau wao wameonja ushindi mara nyingi zaidi ya Arsenal ambapo wamepata ushindi mara 7 katika EPL.