Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Tazama mfano mzuri ni yule Ally Msengi ambae kwasasa yupo nchini Africa Kusini anacheza soka la kulipwa lakini alipitia KMC hapa kabla ya kumruhusu kwenda huko.
Ndidi ana umri wa miaka 23, na bado yuko fiti hivyo ni hazina kwa timu yake ya Taifa Nigeria "Super Eagles" na klabu yake pia ni mchezaji muhimu kikosini.