Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Uhamisho

Yanga wamkana Tuyisenge!

Klabu ya soka ya Yanga imekua katika mawindo ya kimyakimya ya wachezaji wanaowataka kuwasajili ilo kuepusha kupokwa tonge mdomoni na watani zao Simba kutokana na nguvu ya pesa walionayo chini ya Mo Dewji. 
Blog

Man U na Arsenal hawachekani!

zLigi Kuu nchini Uingereza imeendelea leo huku mchuano mkali wa kuwania ubingwa na "Top four" ukishika kasi hatua za lala salama, huku wakubwa wakiangukia pua. Katika mchezo mchezo wa mapema ulishuhudia Everton wakiigaragaza Man United ya Ole Guna bila huruma. Everton wakiwa Goodson Park wamefanikiwa kuifunga Manchester United goli nne...
1 37 38 39 40 41 66
Page 39 of 66