Blog

Amunike huenda akawaita hawa…

Sambaza kwa marafiki....

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike mwezi Mei mwaka huu atataja kikosi kitakachokwenda katika fainali za Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Misri June 2019.

Tanzania ipo kundi C na Timu za Algeria, Senegal na Kenya.

Itaanza kibarua chake kwa kutupa karata dhidi ya Senegal.

Nahodha Mbwana Samata akiwa na Mwalimu wa Timu ya Taifa Amunike Emmanuel.

Kikosi kinachotarajiwa kutajwa:
1. Aishi Manula,Aaron Kalambo, Ramadhani Kabwili.
2. Hassan Kessy, Himid Mao
3. Mohamed Hussein, Gadiel Michael
4. Abdi Banda, Kelvin Yondani
5. Agrey Morris, Erasto Nyoni
6. Mudathir Yahya, Mkude Jonas
7. Farid Mussa, Simon Msuva
8. Feisal Salum, Salum Aboubacar
9. Mbwana Samata, John Bocco
10. Shabani Chilunda, Yahya Zaid
11. Shiza Kichuya, Ibrahim Ajibu

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.