Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
EPLUhamisho

David de Gea mlango uko wazi

Kwa mara ya kwanza, Jose Mourinho, kocha wa Manchester United, amekiri kuwa ana wasiwasi David Degea hataweza kuongeza mkataba wake wa kuitumikia Manchester United, imeripotiwa. Mkataba wa Degea unaisha katika majira ya joto, na katika mkataba huo kuna kifungu kinachoiruhusu Man Utd kumuongezea mkataba wa hadi miezi 12. Degea toka...
Ligi Kuu

Azam fc yavunja mwiko, yaichapa JKT Tanzania nyumbani!

Kwa mara ya kwanza klabu ya soka ya JKT Tanzania imepoteza mchezo katika uwanja wake wa nyumbani wa General Isamuhyo Mbweni JKT Dar es salaam katika mchezo dhidi ya AzamFc. Ikicheza mbele ya mashabiki wake klabu ya Jkt Tanzania imekubali kupoteza mchezo huo na hivyo kua mchezo wake wa kwanza...
Ligi Kuu

Mpepo-‘Tutawapapasa’ wao leo.

Mshambuliaji wa klabu ya Singida United, Eliuter Mpepo, ameongea na tovuti yetu kuelekea mchezo wao dhidi ya Ruvushooting na kusema wapo tayari kupambana na kutoka na alama tatu muhimu. ’Tutawapapasa wao leo, (huku akicheka), tumedhamilia kushinda ili tuwe katika nafasi nzuri katika msimamo” alisema Mpepo ambae mpaka sasa anagoli 2...
Ligi

Kikosi kipana? Kweli Hajji Manara alimaanisha!

Kikosi cha timu ya Simba Jumapili kiliwakaribisha Stand United katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam na kuwapa chuma tatu kwa bila katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara. Stand united hii ambayo ilifungwa mabao manne kwa matatu dhidi ya Yanga katika dimba la Taifa, pia mwaka jana iliweza kutoka...
Ligi

Simba mambo ni motoo yawajibu Yanga!

Wekundu wa Msimbazi Simba sc wameendeleza moto wao katika dimba lá Taifa jijini Dar és salaam baada ya kuigaragazaa vibaya Stand UTD katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ikicheza mbele ya mashabiki wake waliokua na shangwe ya hali ya juu baada ya kupatikana kwa boss wao Mo Dewji wachezaji wa...
1 51 52 53 54 55 66
Page 53 of 66