Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi

Lipuli inazidi kuteketea!

Klabu ya soka ya Lipuli fc "Wanapaluhengo" kutoka Iringa imezidi kujiweka katika mazingira magumu katika Ligi Kuu Bara baada ya leo kupoteza katika uwanja wao wa nyumbani. Lipuli fc ambayo leo ilikua katika dimba lao la nyumbani la Samora wakiikaribisha Kagera Sugar wamekubali kipigo nyumbani mbele ya mashabiki wao, baada...
Ligi Kuu

Feisal na Nyoni kubadili mifumo Simba na Yanga!

Erasto Edward Nyoni na Feisal Salum "Totó" walibaki kua gumzo kwa mashabiki baada ya ushindi wa mabao mawili ya  Tanzania dhidi ya Cape Verde katika dimba la Taifa baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika mchezo ule. Erasto Nyoni alianza katika eneo lá kiungo wa ulinzi baada ya kukosa mchezo wa...
BlogTahariri

Mashabiki tuanze kujichanga mapema!

Mshabiki wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars, ni vema kuanza kujichanga mapema, kwakuwa mlango wetu wa kwenda AFCON 2019 upo Lesotho. Huu ni wito tu kwa mashabiki wa kandanda Tanzania, huko twende tukawape nguvu mashujaa wetu huko ugenini ili tuje tusherehekee kwa nguvu dhidi ya Uganda hapa nyumbani. Tanzania...
Ligi Kuu

Vita inaendelea Ijumaa hii tena

Kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania bara, kitaendelea tena ijumaa hii baada ya mapumziko ya takribani majuma mawili kupisha michuano ya kimataifa. Ligi kuu hii licha ya changamoto za hapa na pale, imepata mwamko mkubwa katika kile tunaita, kupigania ushindi. Kwanza, Timu mbili zinatafuta kuwakilisha Taifa katika michuano ya kimataifa, Pili...
Blog

Mabeki wetu mfuateni Abdi Banda muisaidie Taifa Stars!

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzânia "TaifaStars" kitakachocheza na Cape Verde kina mjumuisho wa wachezaji 9 wanaocheza ligi za nje ya Tanzania. Huenda kwa kipindi hiki kikosi cha timu ya Taifa kikawa na wachezaji wengi wanaocheza soka nje ya nchi!  Watatu wakiwa wanatoka Ulaya huku wengine sita wakitokea África....
Blog

Mkude, Dante waachwa Stars!

Wakati kikosi cha Taifa Stars kikiondoka alfajiri ya leo kuwafwata Cape Verde kwao wachezaji watatu wameachwa jijini Dar és salaam. Kiungo wa Simba Jonas Mkude, beki wa Yanga Andrew Vicent na kiungo wa Azam FC Frank Dumayo wameachwa na kikosi cha Stars kutokana na kuwa majeruhi hivyo kushindwa kutumika katika...
Blog

TFF yatoa mwongozo kwa wanaotaka kwenda Cape Verde!

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) wametoa maelekezo kwa wanaotaka kuungana na Taifa starskuelekea katika mchezo wa ugenini dhidi ya Cape Verde! Bei za tiketi ya Ndege kwenda Cape Verde. Cape Verde vs Tanzania (Taifa Stars) Oktoba 12 Business Class 2000 USD (Kwenda na kurudi) Economy Class 1500 USD (Kwenda na...
Ligi Kuu

Washambuliaji wa Lipuli isaidieni timu yenu.

Kwa hali ya kawaida timu ambayo haifungwi au inashinda kwa ushindi finyu sana ikiwa na mchezo mzuri kabisa, unaweza kujua wapi pa kuanza kuangalia na kupamulika zaidi. Katika michezo 7 ya ligi kuu Lipuli imeshinda mechi moja, sare tano na kupoteza moja. Katika hizi mechi amefunga magoli matatu na kufungwa...
Ligi Kuu

Pale kichuya alipokumbushia kichwa cha Dante

Mchezaji wa klabu ya Simba, Ramadhani Kichuya, leo katika ukurasa wake wa Instagram alitoa nafasi ya kuulizwa maswali na kujibu 50 ya kwanza. Moja ya wauliza maswali hayo alikuwa ni Mohamed Hussein 'Tshabalala', ambae alimuliza Kichuya kama hajisikii vibaya katika timu nzima ya Simba kuwa yeye ndio mtu mfupi zaidi...
1 52 53 54 55 56 66
Page 54 of 66