EPLUhamisho

David de Gea mlango uko wazi

Sambaza....

Kwa mara ya kwanza, Jose Mourinho, kocha wa Manchester United, amekiri kuwa ana wasiwasi David Degea hataweza kuongeza mkataba wake wa kuitumikia Manchester United, imeripotiwa.

Mkataba wa Degea unaisha katika majira ya joto, na katika mkataba huo kuna kifungu kinachoiruhusu Man Utd kumuongezea mkataba wa hadi miezi 12.

Degea toka ajiunge na klabu hii mwaka 2011, ameshadakia mechi 246 hadi sasa, na ni kipa namba moja wa klabu

 

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x