Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Uhamisho

Simba sc waanza usajili waanzia Ivory Coast!

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi  Simba SportsSClub ambao leo wanaanza michuano ya Kimataifa wameanza usajili wao wa dirisha dogo kwa kushusha ndugu yake Didier Drogba. Simba  imemsajili Zana Oumar Koulibaly kama mlinzi  kulia kutoka katika klabu ya Asec Memosa ili kuziba nafasi ya Shomari Kapombe aliepata majeraha. Zana Koulibaly mwenye...
Ligi KuuUhamisho

Mwingine asainishwa na Azam fc.

Baada ya kufanikiwa kupata saini ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa  klabu ya Azam fc imefanikiwa kumuongezea mkataba mwingine mpya  kiungo mshambuliaji wake  Joseph Mahundi. Joseph Mahundi amekubali kuendelea kubakia katika viunga vya Azam Complex mpaka mwaka 2020 baada ya kukubali kusaini kandarasi nyingine ya miaka miwili. Ikumbukwe...
Blog

Kwa hali hii Coastal Union wapo juu!

Coastal Union "Wagosi wa kaya" kutoka Tanga wamerudi katika Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja misimu miwili iliyopita baada ya kushuka na timu nyingine mbili za Jiji hilo kwa pamoja. Baada ya kufanikiwa kurudi katika Ligi Kuu Bara wameoyesha ni kiasi gani wamejipanga ili lisiwatokee janga lá kushuka daraja...
Ligi KuuUhamisho

Coastal Union yamrudisha Mr. Freekick

Klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga imefanikiwa kukiongozea nguvu kikosi chake baada ya kumrudisha mchezaji wao wa zamani Miraji Adam. Coastal Union imefanya usajili huo ili kuimarisha safu yake ya ulinzi na sasa Miraji Adam anakwenda kuungana na kina Bakari Mwamnyeto, Adeyum na Mbwana Kibacha katika eneo hilo. Miraji...
Ligi KuuUhamisho

Azam fc inazidi kupukutika!

Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kupunguza wachezaji wake baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza, haswa katika eneo lá ushambuliaji. Mwalimu Hans Plujim ameamua kuwatoa wachezaji wake wawili wa eneo la ushambuliaji kwa mkopo kwenda kwenye vilabu vingine vya Ligi Kuu Bara...
Uhamisho

Mpepo aondoka rasmi Singida Utd

Taarifa amabazo tovuti ya kandanda imezipata na za uhakika ni kuwa aliyekuwa Mshambuliaji wa Singida Utd, Eliuter Mpepo ameondoka rasmi katika klabu ya Singida Utd. Mpepo ambae hapo kabla aliichezea Tanzania Prisons, amejiunga na timu Buildcon ya Zambia kwa mkataba mwaka moja. Buildcon ligi daraja la kwanza nchini Zambia, na msimu uliopita...
Blog

Tarehe ya uchaguzi yasogezwa

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesogeza mbele tarehe ya mwisho ya zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za kugombea Uongozi katika Klabu ya Young Africans, kwa mujibu wa taarifa toka TFF imesema. Zoezi hilo limeongezwa siku 5 na sasa litakwenda mpaka Novemba 19,2018 ambapo...
Ligi Kuu

Okwi na Pluijm wang’ara mwezi Oktoba.

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Imeripotiwa na Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo Okwi anayecheza nafasi ya ushambuliaji, alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Yahya Zayd...
Ligi Kuu

Kagere na Okwi wakabidhiwa zawadi za kandanda

Tovuti ya kandanda.co.tz iliendelea na utaratibu wake wa kusheherekea  pamoja na wachezaji wanaofunga magoli mengi ndani ya mwezi moja kwa kukabidhi zawadi kwa Meddie Kagere na Emmanuel Okwi kutoka klabu a Simba Sc. Kagere alikuwa ni mchezaji wa kwanza kuwa galacha wa mabao mwezi agosti, alifunga mabao matatu (3). Kutokana...
1 49 50 51 52 53 66
Page 51 of 66