Uncle Tom

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuandika na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Blog

Samue Samuel: Mawazo yangu juu ya Soka Letu

Mohamed Rashidi wa Tanzania Prisons ana goli 6 ligi kuu katika michezo 11 lakini humuoni si Taifa Stars au Kilimanjaro Stars. Kushindwa kuthamini changamoto ya vijana wengine nje ya Simba, Yanga , Azam na wachezaji wa nje ni jambo lingine linaloturudisha nyuma. Vijana hawa tungekuwa tunawaweka katika mizani sawa na...
Blog

Kandanda Day 2017 yakabidhi zawadi kwa washindi siku ya Uhuru.

Kamati ya maandalizi ya Kandanda Day 2017, tamasha la mpira wa miguu linalofanyika kila mwaka mwezi wa kumi, limekabidhi zawadi ya jezi kwa klabu ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 13 ya Bombom FC. Bombom FC waliibuka mabingwa katika mchezo wao uliofanyika tarehe 22/10/2017 katika viwanja vya chuo kikuu...
Blog

Majaribio ya Wachezaji Jinsia Zote Umri Miaka 6 – 20

Ivo Mapunda sports center kwa kushirikiana na chama cha soka mkoa wa dar es salaam (drfa) kwa pamoja wanakuletea majaribio ya wachezaji jinsia zote mwezi wa kwanza mwanzoni wa mwaka 2018 kwa wachezaji kuanzia umri wa miaka 6 – 20. Mchezaji ili aweze kushiriki majaribio haya anatakiwa kujaza fomu ambayo...
CECAFA

Hiki ndicho kikosi cha Kilimanjaro Stars

Kilimanjaro Stars - Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kesho Jumapili Desemba 3, 2017 itacheza na Libya katika mchezo wa pili wa michuano ya kuwania Kombe la CECAFA - linaloandaliwa na Baraza la Soka la Afrika Mashariki. Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Machakos, utaanza saa 10:00 jioni (1600h) mara baada...
1 50 51 52
Page 52 of 52
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz