Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kitivo cha uandishi wa habari. Alijiunga na timu ya kandanda mwishoni mwa mwaka 2018. Anaandika kwa kuchambua kiundani na kutoa elimu tosha katika tasnia ya mpira wa miguu nchini.
Rekodi zake ndani ya klabu hiyo ni nzuri kwani alishawahi kuifungia klabu hiyo magoli 126 katika mechi 366 alizocheza kuanzia mwaka 1996 hadi mwaka 2007.
Kati ya timu 8 zilizofuzu, hakuna timu hata moja iliyopata ushindi katika michezo minne isipokuwa Esperance De Tunis ya Tunisia. Esperance katika kundi B imejikusanyia jumlaya alama 14 ikishinda michezo yote mitatu ya nyumbani na mmoja wa ugenini dhidi ya FC Platinum na kupata sare mechi mbili dhidi ya Horoy
Kwa ushirikiano na Rais wa klabu hiyo Florentinop Perez, tayari wameshatenga Paundi millioni 300 zaidi ya shilingi bilioni 930 za kitanzania kwa ajili ya usajili mpya katika dirisha la usajili la kiangazi
Inaripotiwa kuwa, zidane ana mipango ya dhati ya kukisuka kikosi cha Los Blancos kilichopoteza mataji kadhaa hadi sasa chini ya wakufunzi Julen Lopetegui na Santiago Solari.
Amepiga “successful tackle” moja, alitumika kama winga wa kushoto. Pale alipopata nafasi ya kushambulia, alifanya hivyo na alileta madhara, ndio maana ya goli lake. Anastahili kupata alama alizo zipata
Mechi za mzuunguko wa kwanza zinatarajiwa kupigwa kati ya tarehe 6-7 ya mwezi Aprili na zile za raundi ya pili ni kati ya tarehe 12-13 ya mwezi huo huo.
#Tukujuze Simba Sc hajapoteza mchezo wowote katika Uwanja wa Taifa katika Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu, na matokeo mabaya ni sare ya ya 0-0 dhidi ya Lipuli Fc.