blog

Simba ni hatari sana nyumbani kwake!

Sambaza kwa marafiki....

#Tukujuze Simba Sc hajapoteza mchezo wowote katika Uwanja wa Taifa katika Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu, na matokeo mabaya ni sare ya ya 0-0 dhidi ya Lipuli Fc. Kipi kingine umegundua hapa?Takwimu zaidi…

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz